Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

Zitto ni kichwa katika wapinzani wote. ACT inaendelea kuwa imara hata baada ya wale weengi waliojitoaga ili Zitto akate tamaa. Alirelax akajipanga na Sasa ACT ni chama Cha upinzani kilichoimairika Sana.
 
Wakati Zitto anafanyiwa figisu pale CHADEMA kipindi kile nilisema Zitto kaonewa na kwa akili yake atatoboa tuuu. Kwa upande wangu naiona ACT ndo chama imara Cha upinzani Tanzania.
 
Karibu mhe.Membe upinzani lkn ujiandae kuwa meneja kampeni was mhe.Lissu....acha waseme huna madhara au nyoko nyoko lkn October 25 ndo tutajua Nani kamu win mwenzake...kwa sasa acha wachonge ngenga
Japo kujikwaa si kuanguka kunaweza kujeruhi hata kutegua kiuno!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje mstaafu mh Bernad Membe leo ataongea na waandishi wa habari akiwa na chama chake kipya cha ACT wazalendo katika ukumbi wa Mlimani city.

Up dates;

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu Mzee nasikia tu ana ubobezi wa kidiplomasia lkn hana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kama Lowasa ambaye alikuwa anapendwa bure kabisa mpaka Juma Duni Haji akasema haya ni Mahaba. Membe unajidanganya kuwa utamuangusha Magufuli
 
Mwanasiasa yeyyote "nje ya CCM hana nguvu, ni sawa na konokono" hii ni kwakuwa ndani ya CCM wanabebwa na NECCCM, POLICCM,TISSCCM, JEIDABLIYUCCM na TCRACCM, Membe hata kura laki moja hapati akigombea.
Pili, CCM, imesheheni waimba pambio wasio jielewa, wao wanachagua yeyote ilimradi awe ameacha kazi serikalini na kaamua kuja kugombea nafasi ambazo zingefaa mtu asiy na ajira kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…