secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Dead on arrivalKaisha mapema sana, kabla hata hajaanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dead on arrivalKaisha mapema sana, kabla hata hajaanza!
of the dying horse! 😂Last kick.....
Zitto ni kichwa katika wapinzani wote. ACT inaendelea kuwa imara hata baada ya wale weengi waliojitoaga ili Zitto akate tamaa. Alirelax akajipanga na Sasa ACT ni chama Cha upinzani kilichoimairika Sana.Chadema inazidiwa kete na ACT! kwanza walimnyakua Maalim Seif kitendo hicho kiliwaudhi sana chadema, Yerico Nyerere mpaka leo ana maumivu ykihotokana na kitendo cha Zitto kumnyakua Seif!
Safari hii tena wamenyakua Membe huku chadema ikiendelea kukuna sharubu tu na mwenyekiti wake kuteguka kwa ulevi na kusingizia amepigwa na selikali!
Mbowe sijui anajisikiaje anapoona chama cha Zitto kina shine, mtu ambae akimfukuza kama mbwa, huku wafuasi wa Mbowe wakimtukana Zitto matusi ya kila aina?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wakati Zitto anafanyiwa figisu pale CHADEMA kipindi kile nilisema Zitto kaonewa na kwa akili yake atatoboa tuuu. Kwa upande wangu naiona ACT ndo chama imara Cha upinzani Tanzania.Chadema inazidiwa kete na ACT! kwanza walimnyakua Maalim Seif kitendo hicho kiliwaudhi sana chadema, Yerico Nyerere mpaka leo ana maumivu ykihotokana na kitendo cha Zitto kumnyakua Seif!
Safari hii tena wamenyakua Membe huku chadema ikiendelea kukuna sharubu tu na mwenyekiti wake kuteguka kwa ulevi na kusingizia amepigwa na selikali!
Mbowe sijui anajisikiaje anapoona chama cha Zitto kina shine, mtu ambae akimfukuza kama mbwa, huku wafuasi wa Mbowe wakimtukana Zitto matusi ya kila aina?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Safi Zitto. Naamini wewe ni kichwa. Best wisheskwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Japo kujikwaa si kuanguka kunaweza kujeruhi hata kutegua kiuno!Karibu mhe.Membe upinzani lkn ujiandae kuwa meneja kampeni was mhe.Lissu....acha waseme huna madhara au nyoko nyoko lkn October 25 ndo tutajua Nani kamu win mwenzake...kwa sasa acha wachonge ngenga
of a......Last kick.....
Huyu Mzee nasikia tu ana ubobezi wa kidiplomasia lkn hana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kama Lowasa ambaye alikuwa anapendwa bure kabisa mpaka Juma Duni Haji akasema haya ni Mahaba. Membe unajidanganya kuwa utamuangusha MagufuliTAARIFA KWA UMMA.
Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.
Ukumbi: Mlimani City
Muda: Saa 4.00 Asubuhi.
Waandishi wote mnakaribishwa.
Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.
Simu: 0745899913
15 Julai 2020.
View attachment 1507601
Mwanasiasa yeyyote "nje ya CCM hana nguvu, ni sawa na konokono" hii ni kwakuwa ndani ya CCM wanabebwa na NECCCM, POLICCM,TISSCCM, JEIDABLIYUCCM na TCRACCM, Membe hata kura laki moja hapati akigombea.TAARIFA KWA UMMA.