Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Alitayarisha suti!!?[emoji3][emoji3]
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi

Serikali ya inchi nyingine ikitoa msaada kwa Tanzania pesa anapewa rais au waziri wa mambo ya inje? Na je pesa inawekwa kwenye account binafsi au account ya serikali? Kama pesa ni za libya why isidaiwe serikali ya awamu ya nne yote?
 
Sawa.

Huo ni mtazamo wako.

Kwa bahati mbaya, mtazamo wako haukuwa mtazamo wao, pia.
Saws mkuu, lakini binafsi naunga mkono mtazamo Wa membe.uwongo ukiachwa sana unakuwa ukweli na unazua taharuki.Hats mtaani watu wanamlaumu Msigwa.
 

The state house couldn’t have appositely handled it any better than they did!

They get a 10/10 from me.
 
Mbwekaji wa Taifa
 
Wewe huyo mbwekaji wa taifa watu milion 3 awatoe wapi??tuanzie hapo kwanza..
 
Mpelekeni mahakamani si kumchafua kila siku kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Majungu tu.
Yeye Membe asichafuliwe akiwa kama nani, mbona mnashida humu mitandaoni na kuchafua wengine?
 
Kama hi sahihi mbona serikali hao hao wanalalamika kupitia Musiba, Jerry Muro, na wengine wengi.
Wazushi wako ccm humu humu wala hawatoki nje, kati ya wagombea 42 sidhani kama ni Membe pekee ambaye hakufurahi, lakini ni Membe pekee anafuatwa fuatwa na serikali ya Magufuli.
 

Una uhakika serikali inalalamika kupitia kwa Musiba au unahisi na kusadiki tu?
 
Mtu kaanguka hadharani tena kwenye mkutano wa hadhara halafu usitoe any statement, are serious?
 
Mkuu;
Walichofanya hao wazushi ni kutaka serikali imeze ndoana waliyotega ili waanze kupata promo!

Ninakubaliana na wewe, serikali imejibu kwa muda mwafaka/mzuri ndio maana tumeanza kuzisikia kelele za wale waliowatuma/kuchochea upuuzi!

Kwa sasa wamepata somo kuwa serikali haina muda wa kujibishana na wapuuzi kuhusu uzushi bali inatenda kuonyesha kwa wananchi ni kiwango gani cha upumbavu walichokifanya wazushi.
 
Safari nzima ya kusini ilikuwa lengo kupunguza nguvu na ushawishi wa Membe katika mikoa hiyo haswa baada ya wao kufanya blunder kwenye ishu ya korosho!

Wanamuogopa Membe kuliko Dengue!

Kama Membe alitoa kauli au maandishi yoyote kumsema Jiwe, yawekeni wazi tuone, waache ramli chonganishi!!
 
Una uhakika serikali inalalamika kupitia kwa Musiba au unahisi na kusadiki tu?
Waziri alimkanya Musiba, lakini Musiba ameendelea kuisemea serikali na hachukuliwi hatua, maaskofu waliiuliza serikali ikiwa haimzuii Musiba na wengi wanaamini serikali inamtuma, kwanini serikali isijitenge naye na asiruhusiwe kuisemea serikali, na imchukulie hatua.
Waziri alimuonya hadharani na alisema akirudia vyombo vya dola vita mshughulikia.
Tunaona tena kafanya yale yale, sasa tusemeje?! Uhakika upi ungekufaa wewe?!
 
Asante kwa taarifa. Ngoja tuone itaishia wapi. Na ile kesi yake dhidi ya Musiba iliishia wapi?
Huwa tunaona watu wenye kesi kama ile, kama wanarudia kosa lile lile wakati kesi ikiendelea, huwa wanafutiwa dhamana. Lakini kwa huyu Musiba, nashangaa, ana kesi Mahakamani, huku uraiani anaendeleza matendo, tena mengi tu yaliyosababisha afunguliwe kesi, bila woga, lakini hafanywi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…