Membe: Nasubiri kwa hamu barua ya wito CCM. Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa

Membe kwisha Habari yake

Ajiandae kurudisha mabilion ya Watanzania aliyokwiba kutoka libya
Labda Maembe ila kama ni Membe hapana ccm wote wezi hakuna mwenye moral authority aanze kwanza yule aliyehonga nyumba ya umma kwa hawara.
 
Nasikia Kolimba aliitwa pia. Baada ya hapo kilichomtokea wote tunakijua. Membe inatakiwa ufuate maadili ya Chama chako.

Nilitaka kutaadharisha hivyo hivyo. wawe waangalifu , Mmanda aliitwa akarudi kwenye sanduku.
Dunia tambara bovu,halikawii kuchanika.
Vilevile Dunia mti mkavu..........
 
Sasa ndio tumefunguka na kuujua ugonjwa wa comrede Kinana alipotumwa nje ya nchi kutibiwa.
Alikuwa anauguwa maradhi ya maadili.
Membe jabali la demokrasia, zika mazoea yasiyo ya kikatiba ndani ya nchi na ya chama chenu kwa kuweka ushindani katika kuchaguana kushika nafasi mbali mbali ndani na nje ya vyama vya siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea hili usemalo chadomo watal ionyesha kama mfano,matokeo Mangi ni wa maisha kwenye saccos yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tumesema usichomoze ata iyo barua ikija wanaweza kukolimba ama kukutundulissu
 
kuna watu wamelewa madaraka hivi polepole ndo wa kumuita komrade kinana,makamba na nguli la kimataifa bernad membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…