Membe: Nasubiri kwa hamu barua ya wito CCM. Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa

Membe bora ukae kimya ipo siku utashindwa kuaminika kwa Watanzania!
 
Nenda kahojiwe tu baba ila usinywe maji yao wala kutumia mic yao, waambie nitaongea bila kutumia mic kama vipi utumie mic ya mwenyekiti wa kikao.......tehtehteheh, hawakawii kukukolimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakuja kumdai
Membe kwisha Habari yake

Ajiandae kurudisha mabilion ya Watanzania aliyokwiba kutoka libya
hayo mabilioni kwa kumwita kwenye hiyo kamati?POLICE na TAKUKURU kazi yao nini?Naona mnamtishia nyau kada wenu wenyewe?Anayeelewa hili igizo atoe ufafanuzi,msaada tafadhali.
 
Haya mavyama hatari, ukimkosoa mwenyekiti tayari unaitwa kwenye vikao..
Huo ni utaratibu wao jamani! Hata katiba walijitungia wenyewe! Ni mambo ya familia yao, hayatuhusu kabisa tulio nje ya familia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…