Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kisaikorojia usije ukafa baada ya tarehe 28/10/2020 kwa stress. Magufuli anashinda kwa zaidi ya 80%.CHADEMA walimjua Membe mapema sana ndio maana walimkataa alipotaka kujiunga nao..
Serikali ya CCM siku zote imekuwa ikitumia mbinu zilezile kila Uchaguzi ufanyikapo..
Ndio maana mbinu zao za wizi wa KURA ni zilezile toka 1995 hadi Leo na iwapo wataweza kuforce this time kujitangazia ushindi na tukakubali basi hali ya Mtanzania itakuwa mbaya kuliko Ubaya wenyewe..
Al Sahaf.Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?