Uchaguzi 2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

Membe credibility yake imeshuka Sana... Ajitathimini anaongea vitu Kama mtu aliyechanganyikiwa
 
Jiandae kisaikorojia usije ukafa baada ya tarehe 28/10/2020 kwa stress. Magufuli anashinda kwa zaidi ya 80%.
 
Al Sahaf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…