Uchaguzi 2020 Membe ni msafi sana, Lissu ana makandokando. Upinzani twende na Membe 2020

Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.

Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.

Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.

Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.

Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.

Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Mbona Kama unatulazimisha tumpe membe nafas wkt bado ni mwana ccm?...hatumtaki membe Kama ambavyo ninyi hamumtaki membe...usitupangie bhana
 
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.

Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.

Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.

Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.

Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.

Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Wapinzani hapo ndipo mnapo fail nd hamjiamini, hamna mnachokisimamia, tamaa zimewajaa, lissu nusura atokwe roho na zile risasi lakini mnataka kumueka pembeni kisa mmemuona membe kama fursa, yale yale ya lowasa
 
Hamkukoma kwa Lowasa. Sasa mnamtaka Membe. Mnajisahaulisha kuwa huyo ni Jasusi mbobevu. Siri zenu zitakuwa salama kiasi gani akiwa huko kwenu? Au hamjui kuwa kiapo cha usalama Wa Taifa ni cha maisha. Endeleeni naye. Ila mtakuja kujuta..
 
Wewe sio mpinzani, funga bakuli lako! Tuache tujadili yanayotuhusu
Naomba ujivue hiyo ngozi fake ya kondoo uliyojivika plz.

Wewe siyo Mpinzani Bali Ni mpiga mapambio maarufu Sana kutoka pale Lumumba so toa unafiki wako hapa.
 
Wapinzani mda utaongea! Membe ndio mgombea wenu maana nyie huwa ni wa kuchaguliwa mgombea toka CCM
 
~ Hakuna mpinzani atakaye lala kitanda cha ikulu....na kula misosi ya taifa iwe dar iwe Dom mpaka sisiem waamue kuwapa ikulu kwa mkono wa kushoto kishingo usawa.
 
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.

Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.

Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.

Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.

Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.

Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Membe atagombea nyumbani kwako.
 
Ukitaka,sifia mtu basi usimkandie mtu.
Tundu lissu watu wanampenda ,membe nao hivyo hivyo wewe sema tu hivi vote for membe.
 
~ Hakuna mpinzani atakaye lala kitanda cha ikulu....na kula misosi ya taifa iwe dar iwe Dom mpaka sisiem waamue kuwapa ikulu kwa mkono wa kushoto kishingo usawa.
I love so much nasikujui waambie wachambe wachambike hawatawahi kuiona ikulu ni ccm tu ndio wanapasishiana mpira nasiku sio nyingi watanipa mimi .
 
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.

Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.

Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.

Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.

Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.

Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Kusema tuna rais wa ajabu haijapata kutokea ni tatizo?
 
Nimekusoma mpaka mwisho, sijaona unaongelea USAFI WA MWILI wa watu hawa wawili ama USAFI WA KIMAADILI...

Nimeona tu unaongelea huyu nk MROPOKAJI na yule siyo mropokaji; huyu MSIKIVU na huyu siyo msikivu

Huu ndiyo USAFI unaowalinganisha hawa watu wawili??

Really? Really?
 
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.

Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.

Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.

Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.

Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.

Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#

Membe ni pandikizi haturudii kosa,ye apambane akamn'goe stone
 
BIG NO. Kawaambie hivyo mabeberu wa kijani waliokutuma.
 
Back
Top Bottom