Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Migabo wanaruka na kukanyagana, wamesimama, wanaruka kinyamaHabari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.
Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.
Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.
Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.
Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.
Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.
Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Membe karudisha kadi lakini kazi ya kitengo nyeti hajaacha. Sasa na wewe ni CCM, toka lini chui akamchagulia mbuzi sehemu ya kwenda kula majani!................
Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Hakuna mtaji wowote ALIOKUJA NAO LOWASA BALI MAJANGA. kilichosaidia UCHAGUZI WA 2015 ni vuguvugu la katiba mpya na UKAWA, Lowasa alikuja kupunguza kula. Nina hakika kama asingejiunga upinzani, leo UPINZANI UNGEKUWA IMARA ZAIDIUle mtaji wa watu wa Lowasa ulisaidia?
Hivi mashitaka haya yaliishia wapi?Kusema Tanzania itashitakiwa suala la mchanga ni kandokando?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Duh wajinga hili Nchi bado wengiHabari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.
Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana utumishi uliotukuka na hii imepelekea kupata maadui wengi sana.
Upinzani kwa ujumla wake tunahitaji kuwa na Membe sasa kuliko wakati wowote ule, huyu ni mtu sahihi wa kutuvusha.
Membe sio mropokaji kama ilivyo Lissu, Membe ni msikivu sana na ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.
Lissu kwa sasa bado sana ana makandokando mengi sana ambapo ni ngumu kuaminika na kumnadi kwa wananchi, wengi mnakumbuka alivyochemsha kwenye sakata la mchanga wa madini na kusema Tanzania itashitakiwa MIGA kitu ambacho hakikuwa kweli.
Hivyo huyu sio mtu sahihi kabisa kwa upinzani wakati huu, hivyo ni bora na mara 100 tukamuunga mkono Membe.
Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Si mlituambia kila mtu atapata Noah. Mwisho wa siku hata Balimi haikutosha.Hivi mashitaka haya yaliishia wapi?