Uchaguzi 2020 Membe ni msafi sana, Lissu ana makandokando. Upinzani twende na Membe 2020

Migabo wanaruka na kukanyagana, wamesimama, wanaruka kinyama

Mtaa wa Lumumba wamenielewa
 
................
Kwa pamoja upinzani tutashinda
#2020 upinzani twende na Membe#
Membe karudisha kadi lakini kazi ya kitengo nyeti hajaacha. Sasa na wewe ni CCM, toka lini chui akamchagulia mbuzi sehemu ya kwenda kula majani!
 
Ule mtaji wa watu wa Lowasa ulisaidia?
Hakuna mtaji wowote ALIOKUJA NAO LOWASA BALI MAJANGA. kilichosaidia UCHAGUZI WA 2015 ni vuguvugu la katiba mpya na UKAWA, Lowasa alikuja kupunguza kula. Nina hakika kama asingejiunga upinzani, leo UPINZANI UNGEKUWA IMARA ZAIDI
 
Sisi ni yoyote yule, awe Membe, Lissu ama Nyarandu....moto utawawakia tu wana Lumumba.. !! sisi tuna hasira na nyie
 
Duh wajinga hili Nchi bado wengi
 
Hivi mashitaka haya yaliishia wapi?
Si mlituambia kila mtu atapata Noah. Mwisho wa siku hata Balimi haikutosha.

Nilichokuja kugundua ni kwamba Serikali awamu ya 5 na yenyewe ilitaka ipate keki kwenye ishu hii.

Mikataba hii iliwanufaisha viongozi wa Awamu zilizopita.

Ina make sense some how, ila tu Mzee Baba hataki transparency. Kama angekuwa muwazi kwenye anayoyafanya angeweza kuwa one of the best. Shida mambo mengi yanafanyika kwa Amri.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
CCM mmeshindwa kummudu Lisu ndio maana mnajifanya wapinzani feki eti mnamtaka membe 🤣🤣🤣
Safari ccm imempata bwana wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…