Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Mzee membe hata hamu hanaa[emoji16][emoji16][emoji16].
Watu watu makatili
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
Labda mtindo waliotumia kwa mzee wa Iringa wautumie tena. Jamaa alivyo na hamu na nafasi kwake in bora hata kumkosa mama J
 
Tatizo ni wapinzani sio tume,tume ipo kikatiba na ipo miaka yote.na wapinzani wanashiriki chaguzi zote kupitia tume hii hii!! Kusema kuwa sio tume huru Ni kufilisika kisiasa, utasemaje sio tume huru na unashiriki?

Tume sio huru, kushiriki mara zote haimaanishi kuwa ni huru. Na walishiriki ili kuweka rekodi sawa kuwa tume sio huru. Sasa hivi kila mtu kajionea jinsi tume isivyo huru. Hivyo ni wakati wa kuchukua hatua.
 
Membe amebakiza makali ya mdomo na kiwango kama cha Ngassa

na aache ujuaji

baada ya uchaguzi mkuu ya Kasanga Tumbo yanaweza kumkuta

wenzie wameshika mpini
 
Hana hofu na upinzani ila Watanzania tunachukua tahadhari dhidi ya Chadema ifutike maana walitaka kuharibu Amani kwa kutumia na Mabeberu
Wapinzani wengine hawana tatizo
SASA HOFU YAKE KWA UPINZANI NI NINI?
 
Back
Top Bottom