Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Hiyo hapoWeka tweet yake hapa
Kama mnajua hivyo kwa nini sasa mnahaha? Unamfutaje uanachama kisa tu kusema ati atagombea urais kwa ticket ya CCM..Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
...na hiyo inaprintiwa ikiwa na jina la John Magufuli typed...Form ya Urais wa JMT ni moja tu haina photocopy na hiyo ina printiwa ikiwa na jina la John Magufuli typed kabisa
Misukule huwa haina kumbukumbu ndugu.LEO TENA UNASEMA CHADEMA IPO WAKATI ULISHASEMA IMEKUFA. KWANI IMEFUFUKA LINI?
Hakika.Magu atakuwa rais wa Kwanza Tanzania kuwa rais kwa miaka 10 huku akiwa amepoteza chaguzi zote mbili.yaani huyu jamaa kwenye hii dunia sijui kitu gani anakipatia vizuri
Ni 98% ya Watanzania
Ile u turn mliyopiga 2015 na matukio ya aibu yaliyolifuatia hilo tukio kuu ndo imewafikisha hapa mlipo(chama fedheha) sio hila za yeyoteKila hila mliyojaribu ili iwafikishe kwenye hiyo ndoto inagonga mwamba! Aibu!
Matukio gani ya aibu? Wenye mbwa wanajua kwamba watapata tabu sana, wewe huwezi kuelewa, utaelewa kampeni zikianza!Ile u turn mliyopiga 2015 na matukio ya aibu yaliyolifuatia hilo tukio kuu ndo imewafikisha hapa mlipo(chama fedheha) sio hila za yeyote
Labda kushinda njaaMagufuli kushinda 98% ndio dhambi?
huna taarifa kua membe bado ni mwanachama halali wa CCM?Sifa ya kupewa fomu tu ya kuomba ridhaa ndani ya chama ni kuwa Mwanachama sifa ambayo Membe alishaipoteza.