Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

Ile sauti iliokuwa inamwambia yeye ni Rais anaikataa?
Ilikuwa ndoto za mchana,akaziamini.

Ila ameweka historia ya kufukuzwa uanachama huku hajafanya kosa lolote.
 
Member ana maneno mengi yasiyo na tija.
Si akae kimya tu?
U steringi hauwezi!
 
Huyu ni kachero aliyefeli mission ya kuibomoa Chadema, karudi kwa mwajiri wake kichwa chini baada ya Kamanda Mbowe kumpa za uso
 
Membe alikuwa overrated. Pongezi kwa Ben Mkapa (RIP) na wale wote waliohakikisha hawi Rais mwaka 2015. Ingekuwa disaster kubwa zaidi

Kwa kuwa technically ACT walishamfukuza kabla hata kura moja haijapigwa, anasubiri nini kurudi CCM?
 
Kapata akili sasa ee?

Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu.

Chaajabu na yeye akawa kama Lisu akalewa sifa kwamba anakubalika sana.
Nilikua nawaambia wapambe wake ,wakawa wabishi
 
Membe alikuwa overrated. Pongezi kwa Ben Mkapa (RIP) na wale wote waliohakikisha hawi Rais mwaka 2015. Ingekuwa disaster kubwa zaidi

Kwa kuwa technically ACT walishamfukuza kabla hata kura moja haijapigwa, anasubiri nini kurudi CCM?
Sasa namuamini Musiba
 
Bora akili yake imemrudia sasa
Membe ana courage lakini hakujipanga mapema,kwenda upinzani.
Hata pale alipopewa uwanja akajikuta amebanwa na viongozi wake,wakimkana kwenye majukwaa ya kampeni.
Lakini alipata kura nyingi kiasi bila kupiga kampeni.
 
Huyu jamaa Bado nazn hajui anatak nn au sisi ndio Hatujui Lengo lake.
 
That why wanamuita Jasusi mbobezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…