Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Hatari ya Membe kwa CCM ni kuwa huyu ni nguli wa diplomasia.
Anajua wapi pa kuwaminya serikali kupitia taasisi za kimataifa na wahisani au washirika wa miradi ya maendeleo na ya kijamii, kupitia baraza la usalama la UN, n.k.

Huyu anaweza kuwa mtu tishio mara 5 ya Lowassa endapo atahamua kumwaga mboga, kuweka uzalendo pembeni na kusema liwake jua au inyeshe mvua lazima upinzani uingie Ikulu 2020 anaweza kufanikiwa.

Ogopa mabeberu, wakumbumke Laurent Gbagbo wa Ivory Coast aliondokaje, Ghadaf wa Libya, na wengine wengi.
Tena kosa la bagbo kuwatumia kundi la militia watiifu kwake kuwafurusha raia wa Kifaransa na wengine wa Ulaya.

Hapa tunatafutwa sana kwa matukio yetu ya Makonda kusaka mashoga, Kukamata wale watetezi wa waandishi wa habari, Makinikia, na sheria mpya ya maliasili na madini, kunyang'anya vitalu vya uwindaji, kukomaa kukataa kutia saini mkataba wa EPA, n.k.

Yani tunatafutwa hasa, Membe akiamua kuharibu, na wadau wake mabeberu wakiamua nakuambia mwaka 2020 CCM inaondoka madarakani kama wenye dhamana wasipotumia akili kubwa sana.

Kumuacha Membe aendelee na harakati zake ndani ya CCM ilikuwa hatari lakini kumfukuza Membe toka CCM ni hatari kubwa zaidi.
 
Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Lakini wapambe wanaweza kujitokeza tu. Kwa sababu wengi tunapitia maisha magumu ko wako wanatafuta mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada nakukubali Sana upo vizuri Sana kwenye siasa kuliko midume mingi ambao wapo humu.
 
Poor Membe. Huyu washamg’oa meno. Hiyo ndoto haitotimia. Kama plan yake ni kuhamia upande wa pili, anapaswa kwenda kupata ushauri kutoka kwa Lowassa na Sumaye maana these men experienced first-hand huko kwingine kukoje
 
Ukianzisha vita na massai jiandae na uwe makini na mikakati ya kitaalaqmu, .Wamasai na wasukuma walipigana sana enzi za kuibiana ng'ombe kule makao, wale wanajuana.
 
Vipi na zile ndoto zake za mahakana ya KADA na kujiunga na OES bado naza zipo oilivee?
 
Huu ndio ukweli, huwa namwona Membe kuwa ni mtu asiye SMART sana kichwani.
Hajui kujenga hoja
Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…