Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

M-mbabe,
Magufuli tangu awe mbunge kule chato kuanzia muhula wake wa pili amekuwa anapita bila kupingwa.
 
Athlete,
Ni haki yake ya kikatiba, lakini vile vile ni kinyume cha utaratibu wa CCM; ndipo busara ya kutafuta balance inapokuja. Kuna fact nyingine kuwa uhusiani wa uraisi na Membe haukuanza baada ya "kutidhiswa na kinachoendelea chamani" bali uhusiano huo ulianza tangu baada ya jina lake kuenguliwa mwaka 2015. Hajawahi kukubaliana na matokeo yale, na huo ni upungufu sana kwa upande wake.
 
Akili za kuchezea shilingi chooni
 
M-mbabe,
Binafsi namtakia kila la heri Ndugu Membe aendelee KUOTA ILI NDOTO YAKE ITIMIE. Sasa swali ni kwamba anaota MCHANA AU USIKU, that is the question. Halafu kwani lazima ugombee URAIS ukiwa CCM? Mbona kuna Watanzania wengi tu walishagombea URAIS kupitia NJE YA CCM? Kwa Ndugu Membe, ex espionage and intelligence officer, hawezi kutumia huo ukachero wake na hizo contacts zake ndani ya serikali hii na ndani ya Usalama wa Taifa (kama alivyo sema mwenyewe), kugombea URAIS akiwa nje ya CCM na akaupata huo URAIS anao UOTA?

Halafu, hapa sasa kuna ule mtego utakao nasa wakusudiwa na wasio wakusudiwa. Ngoja uone vyama vya siasa vya Tanzania vitakapo dhani hii ni FURSA kama walivyodhani ile ya 2015 kuwa ni FURSA. Matokeo wote tuliyaona na tunayajua. A word of warning to all political parties, except CCM, Ndugu Membe ni trained Intelligence Officer, kuweni MAKINI this time. Msije mkadandia meli kwa mbele! Nawasilisha.
 
Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.
Huenda hawakuwa na connection za ughaibuni kwa mabeberu hao kama alivyo Ben Membe.
 
mukaruka mzee,
this time inaweza kuwa tofauti kutokana na uwezekano wa kuwepo NEC huru au ikishindikana hiyo kutakuwa na direct intervention ya "beberus" ambao wanaonekana wana mean bizinesi this time around.

inaweza kuwa ni mapambano kati ya
polisi-CCM upande mmoja vs beberus upande wa pili. mechi kali!!
 
Tusubiri tuone hao beberus, wasiojifunza na kusoma alama za nyakati!
 
HAHAAAAA NAONAA MAJIBU YAMEWASHTUA KIDOGOO HUKOO
MSAMAHAA WANN TEBAA
 
Nimewaza san...ila mwisho niwe mkwel tu,mi nahisi bernad ndiye akiyehusika kwenye sakata lakumwekea sumu magu dodoma kipindi kile
Kama huna la kuandika kaa kimya.Acha kuropoka.Wewe unajua sumu au unasikiaga.Usimshuhudie mwenzio uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…