DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kuchezea shilingi chooni..kweli.
Magufuli angemshinda Membe ktk uchaguzi wa wazi na wa kidemokrasia ndani ya CCM.
Na Magufuli angejiongezea UJIKO mkubwa kuliko hivi alivyomfukuza Membe.
Sielewi kwanini Magufuli awe MUOGA kiasi hiki wakati yeye ni Mwenyekiti wa chama, Raisi, na Amiri jeshi mkuu.
Huenda hawakuwa na connection za ughaibuni kwa mabeberu hao kama alivyo Ben Membe.Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.
Tusubiri tuone hao beberus, wasiojifunza na kusoma alama za nyakati!this time inaweza kuwa tofauti kutokana na uwezekano wa kuwepo NEC huru au ikishindikana hiyo kutakuwa na direct intervention ya "beberus" ambao wanaonekana wana mean bizinesi this time around.
inaweza kuwa ni mapambano kati ya
polisi-CCM upande mmoja vs beberus upande wa pili. mechi kali!!
Umeshindwa kutetea madai yako.
Lengo lake si kuwatumikia watanzania bali anataka kukamilisha ndoto.Kumbe ndoto.
Kachero MBOBEZI amekuwa KALUMANZIRA
Unautaman udikiteta ili uone jins ulivoSasa amekuwa huru kuendeleza harakati huru dhidi ya udikteta nchini. Mungu ambariki Membe
Kisiwa cha ComoroNanye Go,
Meli kawapa wanajeshi wa nchi gani mkuu?
KwakoHana mvuto.
Kama huna la kuandika kaa kimya.Acha kuropoka.Wewe unajua sumu au unasikiaga.Usimshuhudie mwenzio uongo.Nimewaza san...ila mwisho niwe mkwel tu,mi nahisi bernad ndiye akiyehusika kwenye sakata lakumwekea sumu magu dodoma kipindi kile