Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Waambie nyumbu haoKachero mbobezi [emoji23][emoji23][emoji23] nachekaga sana nikisikia hili jina... CCM ina utaratibu wake, mgombea wao akiwa Rais atatawala kwa miaka 10 sasa wewe unaanza kampeni za kumtoa mapema sana mbaya zaidi unamhujumu, huko ni kukiuka taratibu za chama chao
Hiyo ni sumu. Inaua.Hapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.
Ni kweli hakuwa tishio ila alithubutu kutema mate mahali patakatifu. Kule kuthubutu kusema; I will challenge you ilitosha kumwambia what you are doing is not good. Sasa nnani mwingine amethubutu?? Hakika; Zidumu fikra sahihi za m/kitiHivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.
Mm wananichekesha na hiyo kauli yao ya kachero mbobezi...😂😂😂
Wala siyo bomu. Wewe huoni sisiemu kilivyopata tabu kushindana na Lowasa? Kilikuwa katika hali mbaya sana 2015 kiasi cha kupoteza majimbo mengi na mgombea wao JPM akapata ushindi mdogo katika historia ya chaguzi za vyama vingi. ccm wanajuana wenyewe na ukiwapambanisha wanakomoana balaa. Maalim Seif ni CCM wa zaman unaona anavyohofiwa Zenj kule? Mengine ya kurudi ccm huo ni uchumia tumbo wa kawaida kwa wanasiasa wa tz bara maana kuna wakati njaa inahama kutoka eneo lake la asili na kukaa kichwani na unakuta politician anatoa maamuzi mabovu balaa.Hilo ni bomu la ccm la kisiasa kwa UKAWA kama walivyokuwa lowasa na sumaye
Nahisi watamchukua ili kuleta mafuriko kama ya lowasa. Uchaguzi ukiisha anaomba msamaha anarudi kuendeleza juhudiPlease upinzani msimpokee huyu mtu please please please
Mshafanya makoss huko nyuma inatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe ni jiwe.Ni kweli hakuwa tishio ila alithubutu kutema mate mahali patakatifu. Kule kuthubutu kusema; I will challenge you ilitosha kumwambia what you are doing is not good. Sasa nnani mwingine amethubutu?? Hakika; Zidumu fikra sahihi za m/kiti
Unamjua vizuri mzee wa niguse ninuke?Nahisi watamchukua ili kuleta mafuriko kama ya lowasa. Uchaguzi ukiisha anaomba msamaha anarudi kuendeleza juhudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila hastahili kupata attention yote hii. Analazimisha kukubalika. Ukiondoa hapa JF na twitter, huko kwa wapiga kura hakuna mwenye habari naye, wala hutosikia akitajwa kama anayeweza kushinda nafai ya Urais majina tunayokutana nayo ni mengine kabisa.Media ni silaha muhimu sana kwenye propaganda
Jr[emoji769]
Loh...dogo umejaziaa!!Mm Sahv nazungushaa nyama chomaaa kamandaaa nyie umozaneni nakulaa rahaa tu
Ova
View attachment 1372067View attachment 1372068View attachment 1372069
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Subra ipi ?Kila kitu kipo wazi. CCM ni maji,Membe ni Samaki. Ulishaona Samaki ana uhai nje ya maji ?
🤣🤣🤣 Victoire una maneno !Subra ipi ?Kila kitu kipo wazi. CCM ni maji,Membe ni Samaki. Ulishaona Samaki ana uhai nje ya maji ?
Hata Rais nchi au wa TFF?CCM wamejizika wenyewe. Membe ni bingwa wa mikakati. Ipo siku atakuwa rais. Jiwe jiandae kudhalilishwa au kuwekwa kizuizini.
Magu mwenyewe anasema BWM kwake ndiyo kila kitu, bika yeye asingefika hapo alipo. Hata hiyo nafasi yake ni mipango yake, usitegemee akamtupaBWM kwa sasa hayupo nyuma ya Magu. Magu ndo boss wa CCM. Jeshi la mtu mmoja. Kwanza JK ndo alikosea kubadili katiba ya CCM na wenyeviti wastaafu wakawa hawaingii tena kwenye Kamati kuu. Asingebadili huenda leo Membe asingefukuzwa chama.Maana JK,Mkapa,Mwinyi wangehudhuria kikao.
Kumchafua rais ndio kupoje ?U know nothing bro. Hao uliowataja ukijua visa vyao hata wewe ungekuwa Meko ungewatumbua vizuri tu... Huyo Mwandosys alikuwa akipita mitaani yeye ni kupond tu Rais hajamaliza hata miezi 6 ameanza kumchafua mitaani
Kitu CCM mnajivika upofu ni kutojua tu..Membe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.