Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Kuna sheria inayozuia mtu kuwa na chama zaidi ya kimoja?
 
Ukichunguza kwa makini, ni kama sheria inaruhusu vile.
Tuna vyama kibao! vingine vina Mwenyekiti tu.
Kama kweli ana nia ya URAIS milango ipo mingi balaa.
Naongelea ugombea binafsi, siongelei mtu kugombea kwa kupitia chama.

Unaelewa tofauti ya vitu viwili hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wamejizika wenyewe. Membe ni bingwa wa mikakati. Ipo siku atakuwa rais. Jiwe jiandae kudhalilishwa au kuwekwa kizuizini.
Dah...tusijidanganye bana...kama alishindwa 2015 wakati shemeji yake akiwa mshika rungu....ndiyo ataweza 2020 akitokea nje ya uwanja? Eti ipo siku...siku gani hiyo? Uchaguzi unafanyika tena 2025...2030..2035 ...Usisahau kuwa rais wa JMT ndiye mwenyekiti wa CCM...na ndiye Mkuu wa "vyombo" vyenye walimu wa "wabobezi"...Mwacheni mzee Membe ale mafao yake na Dorcas kwa raha na starehe....[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ninaowakumbuka na walioumbuka kwa kuiasi CCM TOKA VYAMA VINGI VIANZE
1. KIGHOMA ALLY MALIMA (rip)
2. AUGUSTINO LYATONGA MREMA
3. EDWARD LOWASA
4. FREDRICK SUMAYE
5. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.
Nyakati zinabadilika.Mategemeo 2020 wimbi la madiliko litatokomeza kijani baharini.
 
Back
Top Bottom