Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wacha nikusaidie kukuza maandishi ili yasomeke vizuri.Shithole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha nikusaidie kukuza maandishi ili yasomeke vizuri.Shithole
Ukichunguza kwa makini, ni kama sheria inaruhusu vile.Hapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.
Hahaha tutachukua tu hakuna adui wala rafiki wakudumu kwenye siasa.Ninyi si mlisema kwamba huyo ni kachelo mbobezi hawezi kufukuzwa, haya kafukuzwa sasa. Chukueni kapi hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?
Nimemuona Mwenyekiti anasmile kwa mbaaaaali!Chochea kuni
Shwain mamaako...Mwacheni andelee kuota,akija kuamuka na kugundua kuwa ilikuwa ndoto atatujulisha,shwaini mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama anaongea hivyo kisiasa ila kama yuko serious basi atakuwa na tatizo kichwani mwake.Hivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.
Wapinzani wamchukue tu hana madhara.Vyama pinzani wajipange, hilo bomu limetegwa linatafuta pa kulipukia
Sent using Jamii Forums mobile app
That is beside my point.Hugo atauza nchi ni msela fulani tu hivi hata kwa kumuangalia tu..walompiga chini walishaona mbali kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea ugombea binafsi, siongelei mtu kugombea kwa kupitia chama.Ukichunguza kwa makini, ni kama sheria inaruhusu vile.
Tuna vyama kibao! vingine vina Mwenyekiti tu.
Kama kweli ana nia ya URAIS milango ipo mingi balaa.
Akagombee urais kupitia Chadema, akatimize hiyo ndoto yake. Makamanda tayari wameshajitayarisha kumpigia deki barabara.
Dah...tusijidanganye bana...kama alishindwa 2015 wakati shemeji yake akiwa mshika rungu....ndiyo ataweza 2020 akitokea nje ya uwanja? Eti ipo siku...siku gani hiyo? Uchaguzi unafanyika tena 2025...2030..2035 ...Usisahau kuwa rais wa JMT ndiye mwenyekiti wa CCM...na ndiye Mkuu wa "vyombo" vyenye walimu wa "wabobezi"...Mwacheni mzee Membe ale mafao yake na Dorcas kwa raha na starehe....[emoji2960]CCM wamejizika wenyewe. Membe ni bingwa wa mikakati. Ipo siku atakuwa rais. Jiwe jiandae kudhalilishwa au kuwekwa kizuizini.
Nyakati zinabadilika.Mategemeo 2020 wimbi la madiliko litatokomeza kijani baharini.Ninaowakumbuka na walioumbuka kwa kuiasi CCM TOKA VYAMA VINGI VIANZE
1. KIGHOMA ALLY MALIMA (rip)
2. AUGUSTINO LYATONGA MREMA
3. EDWARD LOWASA
4. FREDRICK SUMAYE
5. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.