Ingawa siko nanyi kimwili ila nimekaa hapo kwenye hiyo siti hapoo katikati yenu, kulia kwangu yuko Paloma, kushoto kwangu amekaa Madame B nawe amu uko hapo mbele yangu afu huyu Lusile huyuu..... LOVE YOU GUYS.. Great weekend though!

amu sasa nyie wa mama mie hua nawashangaa, sasa ivi ni 23:54 mnatakiwa sasa ivi muwe mumewalalia ma hubby wenu kwenye vifua vyao , co mnakesha hapa, na Preta nae nime mkuta ana hangaika na Tonykp