Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Best kiduchu nikushtue ila kileo kilizidi nikaone nitakuzingua tu
mzima???
Hahaha....mie mzima sana tu, vipi bado mpo huko??
Best kiduchu nikushtue ila kileo kilizidi nikaone nitakuzingua tu
mzima???
Waulize tu/watakujibu, huenda wamechanga wamenunua hata maji ya Uhai lita 6 wanakunywa taratiiibu na malimao pembeni
Hebu nitake radhi........
Kweli nkwere noma. Katuharibia nchi! Maji ya uhai 6lts yanauzwa yakiwa ya baridi kabisa?
sasa kwa christians msisahau kwenda kanisani leo
kweli aisee!. umenikumbusha. miaAfu daftari la rambirambi ya vitz ya Ndetchia sijaona siginecha yako. Tunataka tumuwekee ac aisee, joto limezidi.
hahahaha! halafu huyu nkwere kila uchao anapandisha mvinyo bei, bora angepandisha vyakula mara dufu kuliko mvinyo...Kweli nkwere noma. Katuharibia nchi! Maji ya uhai 6lts yanauzwa yakiwa ya baridi kabisa?
halafu mama Ngina wako jana ni nilimuona kasimama na lijamaa... sijui nani?
halafu mama Ngina wako jana ni nilimuona kasimama na lijamaa... sijui nani?
na wewe nina mkanda wa video unaoonyesha machafu yako yote, ukibisha nautoa..... teh teh teh!Umbeya huo umeanza
na wewe nina mkanda wa video unaoonyesha machafu yako yote, ukibisha nautoa..... teh teh teh!
cc. mwigulu
yaani nimecheka hadi pumzi imeniishia, loh!Samahani nilikua nakutania tu. Habari za jumapili muheshimiwa
yaani nimecheka hadi pumzi imeniishia, loh!
za j2 nzuri ila mbaya coz leo sijaenda kusali nipo home tu mvua inakunya kweli huku Yombo Buzza.
wee ntake radhi, hayo maombi ya kidigital ya mzee wa upako & co. siyataki,Duh! Kwani hauna king'amuzi? Siku izi nasikia watu wanasali kwa ki digatal