Member aliye karibu na Leo Tupo Hapa Pub MWANANYAMALA.....

Last edited by a moderator:
Duh! Kwani hauna king'amuzi? Siku izi nasikia watu wanasali kwa ki digatal
yaani nimecheka hadi pumzi imeniishia, loh!
za j2 nzuri ila mbaya coz leo sijaenda kusali nipo home tu mvua inakunya kweli huku Yombo Buzza.
 
Duh! Kwani hauna king'amuzi? Siku izi nasikia watu wanasali kwa ki digatal
wee ntake radhi, hayo maombi ya kidigital ya mzee wa upako & co. siyataki,
mimi nasali katika roho na kweli sio kwa maroho yanayoshindania idadi ya waumini ili yapate hela.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…