Una hela?
Una iphone X?
Zaidi ya hiyo mkuu 😎Una iphone X?
Una hela?
Mkuu usha pita kote huko duhUna iphone X?
Atakufilisi huyu
Mkuu, wewe chagua wako. Mambo mengine tuachie wachaguaji. Machaguo yangu manne ni Miss Natafuta, NAHUJA, ukhuty na niahAtakufilisi huyu
hahahaahhahhhahahh, mie naomba niwe kweli nitoke na Maxence Melo (JF founder)Mkuu, wewe chagua wako. Mambo mengine tuachie wachaguaji. Machaguo yangu manne ni Miss Natafuta, NAHUJA, ukhuty na niah
Napenda kuonan na wewe!Nasubir kutajwa
Napita Kwa kukodoa macho kodoooo
Duh mjomba wako atanipa talaka sasa hivi kabla ya siku! cc: mshana jr.Mkuu, wewe chagua wako. Mambo mengine tuachie wachaguaji. Machaguo yangu manne ni Miss Natafuta, NAHUJA, ukhuty na niah
Waoooh naomba nipande fast jet Kukufata ulipoooNapenda kuonan na wewe!
[emoji1]
Karibu sana, nakusubili kwa hamu sana yani!Waoooh naomba nipande fast jet Kukufata ulipooo