Kumbe amewahiwa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwa nini nimkimbie Kasie.Utamkimbia wewe bora ubaki na mie
AhahhahaAnatapatapa hajui atoke na naniii
AhahahaWewe ni special.
Asante kwakua muungwana...Si unao wa5 jaman acha niwe na mleta mada kanichagua mm tu
Sawa mumy..Usijal
Mtu mbili tu hapo wakizidi labda malaika au wangaKwahiyo tutakuwa wawili eenh
Hakika umenipa nguvu najiona mimi tu [emoji2]Usiogope we mwanaume pambana mpaka dk ya mwisho
Hahahahaaa. Sitii neno.Teh teh...
Ngabu anatishia amani eh?
Mie kidampa tu mbona....mwambie asiogope bana.
I ain’t got nothing on him.
Yaani wewe mtoto sijui nikufanyie nini unielewe....Ahahaha
Ebu acha kunijaza
Sema tupangane sheeeenzi. 2018 ni kupangana tu.Hapana aisee huyu nahisi nimeokota nazi kwenye mti wa muembe,,hata kumsogelea hapana kabisa we endelea na hao hao upangwe mstari
Kila mmoja yuko huru kuandika anachojisikia ilimradi asivunje sheria akalimwa life banHahah ndio pale sasa
Kitambo mkuu. Yuko saluni kwa maandalizi (pampering) ya V-Day.Siku hiyo nitamkuta akiwa laiiiniiiiii kama hariri. Huku macho yake yakiniita kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu. Nikiwa tayari na matunda ya strawberry na chocolate syrup kwa kazi maalum baada ya dinner and dance night out.Kumbe amewahiwa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naogopa unaweza nitosa wewe. Budget si haba ujue [emoji3][emoji3][emoji3]Sawa, weka hapa bajeti yako tuone
Nipe mimi.Me Rrondo simuwezi
Sijui umempa nini huyu sexy lady...leo kaniumiza sana eti baada ya kukukosa wewe kaenda kwa ivuga,huko nako kagonga mwamba ndio ananitafuta mimi!Teh teh...
Ngabu anatishia amani eh?
Mie kidampa tu mbona....mwambie asiogope bana.
I ain’t got nothing on him.