Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Kumbe amewahiwa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kitambo mkuu. Yuko saluni kwa maandalizi (pampering) ya V-Day.Siku hiyo nitamkuta akiwa laiiiniiiiii kama hariri. Huku macho yake yakiniita kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu. Nikiwa tayari na matunda ya strawberry na chocolate syrup kwa kazi maalum baada ya dinner and dance night out.
Tafuta wako mkuu...niachie huyu mwali wangu emmyta
 
Back
Top Bottom