Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Kwamaba ni watu wa starehe sana?! Unajua Shunie mimi sipo kama unavyonifikiria.....mawazo haya na sumu ulizolishwa ndio zinazokufanya upige teke bahati ya mtende kuota jangwani....
Ahahahhh me sijalishwa sumu mbona si huwa nasoma tu post zako najua huyu mtu wa aina gani anapenda sana kutoka
 
Ila mambo zako na za rrondo mpo sawa yaan atapata kiboko yake anakuzimiaje simu sasa usiogope mambo za jf ingekuwa hivyo mbona tungeshazimiwa simu na wengi humu na sura zetu za baba na umbo la sanamu la michellin
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Picha linaanza mimi ndo ntazima simu nikiona mapicha picha sishindwii.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Picha linaanza mimi ndo ntazima simu nikiona mapicha picha sishindwii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au unafunika simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…