Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ahahahhh me sijalishwa sumu mbona si huwa nasoma tu post zako najua huyu mtu wa aina gani anapenda sana kutokaKwamaba ni watu wa starehe sana?! Unajua Shunie mimi sipo kama unavyonifikiria.....mawazo haya na sumu ulizolishwa ndio zinazokufanya upige teke bahati ya mtende kuota jangwani....