Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
umeona eee tunaendana balaaaHalaf vi avatar vyenu vinafanana ahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona eee tunaendana balaaaHalaf vi avatar vyenu vinafanana ahahah
Akufungulie tu pmumeona eee tunaendana balaaa
itapendeza zaidi[emoji12] [emoji12] [emoji12]Akufungulie tu pm
Uwe unatumia Web bwana rafiki sababu huwa nakutag halafu hata hurespond.Heheh!!
Bado hajakuja tu huyo?
Sio mbaya pia sio nzuri sana
Uwe unatumia zote mbili bana yaani unatumia App ila na Web pia saa nyingine unaitumia ili upate notifications zote.Natumia App yani sipati taarifa yeyote ile zaidi ya mtu kulike au kuquot jmn
Me mzima sana hofu kwako rafiki....
Sawa rafiki itabidi nifanye hivyo haraka iwezekanavyo...Uwe unatumia zote mbili bana yaani unatumia App ila na Web pia saa nyingine unaitumia ili upate notifications zote.
Mie sijambo rafiki. Kumekucha.
Sawa rafiki itabidi nifanye hivyo haraka iwezekanavyo...
Kumekucha kwakweli ni jambo la kumshukuru Mungu
Alafu nilikua nina mpango wa kuutafuta ule uzi wa asubuh nikuite sema kama tukawa tumekumbukana tu
Hahaaa. Yaani Web haina masoro soro kama App sababu unaweza tumiwa msg asubuhi basi ujumbe ukaupata mchana. Ila kwenye Web hamna hizo mambo.Nashukuru sana kwa kunipa maujanja rafiki naona sasa tutaenda sawa...
Kwako pia
Duuh!Pole mkuu, mi mwenyewe kuna mmoja namtaka sana, tatizo ananataaaaa, ila nampenda hivyo hivyo na minato yake.
Mmmh unanitega sioIPOGOLO FREE AND AVAILABLE.
Mpaka mida hii sina Booking.