Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Uwe unatumia Web bwana rafiki sababu huwa nakutag halafu hata hurespond.

Mzima lakini?
Natumia App yani sipati taarifa yeyote ile zaidi ya mtu kulike au kuquot jmn

Me mzima sana hofu kwako rafiki....
 
Natumia App yani sipati taarifa yeyote ile zaidi ya mtu kulike au kuquot jmn

Me mzima sana hofu kwako rafiki....
Uwe unatumia zote mbili bana yaani unatumia App ila na Web pia saa nyingine unaitumia ili upate notifications zote.

Mie sijambo rafiki. Kumekucha.
 
Uwe unatumia zote mbili bana yaani unatumia App ila na Web pia saa nyingine unaitumia ili upate notifications zote.

Mie sijambo rafiki. Kumekucha.
Sawa rafiki itabidi nifanye hivyo haraka iwezekanavyo...

Kumekucha kwakweli ni jambo la kumshukuru Mungu

Alafu nilikua nina mpango wa kuutafuta ule uzi wa asubuh nikuite sema kama tukawa tumekumbukana tu
 
Hahaaa. Sawa kabisa rafiki.

Haya bana uwe na asubuhi njema rafiki.
 
Naomba ratio ya wachangiaji wa huu Uzi. Upande upi watakua wengi Me or Ke
 
Nashukuru sana kwa kunipa maujanja rafiki naona sasa tutaenda sawa...

Kwako pia
Hahaaa. Yaani Web haina masoro soro kama App sababu unaweza tumiwa msg asubuhi basi ujumbe ukaupata mchana. Ila kwenye Web hamna hizo mambo.

Ahsante sana na kwako pia rafiki.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom