Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake.

Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha wengi kuonyesha wasiwasi juu ya hatari ya mfumo wako wa taka mwili kua mbioni kudukuliwa ,huku wachache walio na Imani wakakusihi usijitabirie mambo hayo ya kusikitisha. Lakini uling'ang'ana.

Naomba kukuuliza mbele ya hadhira ya Wana JF kama ulifanikisha zoezi la kuhasiwa?.
 
Back
Top Bottom