Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Kuna siku moja nikiwa na mfanyakazi mwenzangu akaomba simu yangu baada ya kutazama akakutana na app ya JF akasema. Nakuona mzee wa JF, nikamwambia leta simu maana utaniletea mabalaa bure.Hata mie huwa najiuliza,sijawahi kuona mtu anatumia JF hadharani
Mie huwa natumia nikiwa hapa hapa nilipo
Kanisa la ufufuo na uzimaWewe kwa sasa uko wapi?
ukiwa unamaanisha tuifanyie mpango hiyo kitu, vipi kuhusu uwezo wa simu au hadi hivi vyetu inakubali? alafu mbona umeipigia promo humu kimtindo?Kuna siku moja nikiwa na mfanyakazi mwenzangu akaomba simu yangu baada ya kutazama akakutana na app ya JF akasema. Nakuona mzee wa JF, nikamwambia leta simu maana utaniletea mabalaa bure.
Kuna App ya JF na Taptalk ila hii Taptalk ndio mpango mzima.
Kuna siku moja nikiwa na mfanyakazi mwenzangu akaomba simu yangu baada ya kutazama akakutana na app ya JF akasema. Nakuona mzee wa JF, nikamwambia leta simu maana utaniletea mabalaa bure.
Kuna App ya JF na Taptalk ila hii Taptalk ndio mpango mzima.
🤣Mimi niko juu ya mti saahizi
Mimi na yupi mwingine?Nishawahi kuona watatu!
HahahhahahaMimi na yupi mwingine?
Kambea mbea sana wewe. Unachungulia chunguliaga simu za watu kumbe.😀Hahahhahaha
Hao hawakujua kama nimewaona aki.... niliona tuu app ya JF kwa simu zao