Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Habari members,
Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au?
Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine siwaoni member wenzangu.
So nataka kufaham hua mnakua maeneo gani au ndani ofisi zenu?