Member wa JamiiForums mpo wapi?

Member wa JamiiForums mpo wapi?

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
717
Reaction score
666
Habari members,

Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au?

Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine siwaoni member wenzangu.

So nataka kufaham hua mnakua maeneo gani au ndani ofisi zenu?
 
Hata mie huwa najiuliza,sijawahi kuona mtu anatumia JF hadharani

Mie huwa natumia nikiwa hapa hapa nilipo
Kuna siku moja nikiwa na mfanyakazi mwenzangu akaomba simu yangu baada ya kutazama akakutana na app ya JF akasema. Nakuona mzee wa JF, nikamwambia leta simu maana utaniletea mabalaa bure.

Kuna App ya JF na Taptalk ila hii Taptalk ndio mpango mzima.
 
ukiwa unamaanisha tuifanyie mpango hiyo kitu, vipi kuhusu uwezo wa simu au hadi hivi vyetu inakubali? alafu mbona umeipigia promo humu kimtindo?
 
Kuna siku moja nikiwa na mfanyakazi mwenzangu akaomba simu yangu baada ya kutazama akakutana na app ya JF akasema. Nakuona mzee wa JF, nikamwambia leta simu maana utaniletea mabalaa bure.

Kuna App ya JF na Taptalk ila hii Taptalk ndio mpango mzima.

Mie sitaki kuacha ushahidi wowote kwenye simu yangu kwamba natumia JF

Kuanzia google nimehide search history so mtu hawezi kushika simu yangu akajua huwa nasearch JamiiForums,APP ya JF ndio sitaki hata kuimiliki

Nafikiri siku mtu anayenifahamu akiifahamu hii ID ndio itakuwa mwisho wa kutumia hii ID
 
Back
Top Bottom