Me nimewahi ona watu 2 tofauti. Mmoja Ni Mwaka Jana nikiwa safari Jamaa kwa laptop yake akafungua.Na mwingine Mwaka juzi kwa Simu yake,nayo Ni safarinHata mie huwa najiuliza,sijawahi kuona mtu anatumia JF hadharani
Mie huwa natumia nikiwa hapa hapa nilipo
Mmmh!wamejitoa hao ama ni verifiedMe nimewahi ona watu 2 tofauti. Mmoja Ni Mwaka Jana nikiwa safari Jamaa kwa laptop yake akafungua.Na mwingine Mwaka juzi kwa Simu yake,nayo Ni safarin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie huwa najiuliza,sijawahi kuona mtu anatumia JF hadharani
Mie huwa natumia nikiwa hapa hapa nilipo
Mie sijawahi kubahatisha hata mmoja
SawaKuna wengine wanayo tu ila sio members wa jf yani hawajajiunga ni wapenzi watazamaji tu, kama mimi nilivyo kaa nayo kwenye simu yangu kwa muda wa zaidi ya miaka sita bila kujiunga na kipindi hicho nilikuwa naifungua popote pale bila kujali.
Mie sijawahi kubahatisha hata mmoja