TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kuna mwanafunzi mmoja wa sekondari wa kike nilimwona kwenye mwendokasi, dizaini alikuwa o level ikabidi nimuulize ameijuaje jf. Ikabidi nimpotezee maana nilianza kuhisi angenisababishia miaka 30 maana niliona mazoea ya gafla yaliyotaka kuzidi mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app