There ain't no shame in my game.
I'm not scheming on the chance to put a stain on your name.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There ain't no shame in my game.
I'm not scheming on the chance to put a stain on your name.
Tutatangaza baraza la mawaziri kuondoa utata.......wizara zitakuwa 10, tu ili kubana matumizi ya server za jf
Tutakukabidhi wizara nyeti upate shavu mkuu......Ile serikali yetu ya makapuku chini ya Raisi Bitoz aka BishopTembo, nimeamua kujitwika uPM maana naona Raisi hataki kufanya uteuzi.😀😀😀
Tutatangaza baraza la mawaziri kuondoa utata.......wizara zitakuwa 10, tu ili kubana matumizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutakukabidhi wizara nyeti upate shavu mkuu......
Dogo hebu niamkie kwanzaMie haunikubali?!😕😕
Stain on my name? What name?
I ain't got no name.
I thought Nyani Ngabu ni jina! My bad.
Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo.
Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k
Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k
Binafsi huwa navutiwa na mada za MSHANA JR,Huyu jamaa sijui ni kitu gani asichokijua na ana nyuzi zenye mambo ya tofauti kabisa kwa wale tunaopenda kufungua akili zetu na kujifunza mengi huyu jamaa naamini huwa anatupa hiyo nafasi kupitia threads zake.
Na we tiririka hapa ni member gani huwa anakufurahisha kwa threads zake ama uchangiaji wake ama lolote humu jf?
Tutakuja kwa wale tusiowakubali (hapa ni sisitize bila chuki wala vinyongo ni kwamba tu wale ambao mara nyingi tunatofautiana ki mtazamo ama ki uchangiaji)