Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo.

Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k
Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k

Binafsi huwa navutiwa na mada za MSHANA JR,Huyu jamaa sijui ni kitu gani asichokijua na ana nyuzi zenye mambo ya tofauti kabisa kwa wale tunaopenda kufungua akili zetu na kujifunza mengi huyu jamaa naamini huwa anatupa hiyo nafasi kupitia threads zake.

Na we tiririka hapa ni member gani huwa anakufurahisha kwa threads zake ama uchangiaji wake ama lolote humu jf?

Tutakuja kwa wale tusiowakubali (hapa ni sisitize bila chuki wala vinyongo ni kwamba tu wale ambao mara nyingi tunatofautiana ki mtazamo ama ki uchangiaji)



Mkuu mimi namkubali, Lizaboni,Salary sleep, Safari ni safari,mshana jr,Pasco, miss chagga,Lin, lara 1 etc
 
Back
Top Bottom