Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Ni ngumu kuwachagua maana humu kuna kila aina za watu na huvutia zaidi nikiwa na mood flani....

Kiranga ,faiza foxy ,mwanakijiji ,Lara 1 , heaven sent , mshana Jr ,MK24 ( mkenya huyu) .. Pamoja na wanaintelijensia na wachambuzi wa siasa mahiri wa jf kwa kuwa huwa najifunza mengi kupitia ninyi....

RESPECT KWENU
 
Faiza foxy pamoja na kujitoa akili sometime nahisi ni mtu mkubwa sana kichwani.ana general knowledge kubwa sana!
 
Najikubali Mimi. Nikifuatiwa Na Huyu Bibie "Faiza Foxy" Ni Kwasababu She Is Very Hard To Convince.
 
Mimi namkubali sana Pasco lakini sio kwenye siasa... Mwingine ni @mshanaJR na mwingine ni mimi mwenyewe @allanclement haswa nikitoa post zangu zinazohusu walimu....

Haya .... Nikipewa u mod Dk 10 tu nawapiga life ban )@lizabon na yule bibi [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom