Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo.

Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k
Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k

Binafsi huwa navutiwa na mada za MSHANA JR,Huyu jamaa sijui ni kitu gani asichokijua na ana nyuzi zenye mambo ya tofauti kabisa kwa wale tunaopenda kufungua akili zetu na kujifunza mengi huyu jamaa naamini huwa anatupa hiyo nafasi kupitia threads zake.

Na we tiririka hapa ni member gani huwa anakufurahisha kwa threads zake ama uchangiaji wake ama lolote humu jf?

Tutakuja kwa wale tusiowakubali (hapa ni sisitize bila chuki wala vinyongo ni kwamba tu wale ambao mara nyingi tunatofautiana ki mtazamo ama ki uchangiaji)
Namkubali sana Casic

Kama haijakaa kiume inama niiweke kiume😡
Namkubali sana cacico
 
a)Kiranga
I Truly Adore This Guy!
His Arguments Are Short and Logical!
And When He Errs He Humbly Apologizes!
b)Nyani Ngabu
He Is The Coolest Dude in Heeyaaa...His Slang,His Cool and Versatile Writings
c)Faizafoxy
Huyu ni Mama,Bibi na Kokoo All Combined into One!
Penda Sana Yeye,na Misemo Yake Iliyokwenda Shule:
-punguani wahed
-uko shuleni mlienda somea ujina
-acheni ujuha nyie mnaoli abudu sanamu la mzungu lilivyo valisha nepi
Jambo ni Gamba na Fan wa JK,Napenda Anavyoweza Kutetea Chama na Dini Yake
d)Mshana Jr
Napenda Likes Zake
 
Mleta mada ulipaswa kuweka vigezo vya kumkubali mwanajamvi, la ni figisu figisu (lugha ya humu ndani) tu zinazojitokeza.
 
Mleta mada ulipaswa kuweka vigezo vya kumkubali mwanajamvi, la ni figisu figisu (lugha ya humu ndani) tu zinazojitokeza.
Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k

Kivyovyote unavyomkubali mkuu haina vigezo sio contest ni kuappreciate tu
 
Back
Top Bottom