Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Ngoja nikiamka Sq hiz bado nimelalaUlikuwa unataka kuniambia nini mpwa....???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikiamka Sq hiz bado nimelalaUlikuwa unataka kuniambia nini mpwa....???
Mpwa wewe ni kiboko unalala huku unaandika......haya nakungoja mpwa uamke.....Ngoja nikiamka Sq hiz bado nimelala
Maalim Faiza,
Pasco,
Uko nyumbani.Kwani huwa unasikia mimi niko wapi?
Pasco,
Tutoke nje ya mada kidogo...
Kuna myimbo ya Wilson Picket huyu alikuwa katika wanamuziki
wa enzi zetu 1960/70 inaitwa, ''A Man And a Half.''
Hii nyimbo ukiacha ''melody'' yake ya kuvutia ina ''lyrics'' za kupendeza:
''...Shakespeare wrote poems about me even before I was born...''
''...me and a camel went across the desert,
and there was no water in sight.
the camel died trying but your man and a half is here loving you tonight.
I am a man and half two wrapped in one...''
Nyimbo hii ndani mna ''minor keys,'' hizi huingiza sadness katika melody.
Sina uhakika na guitar alipiga nani lakini nadhani alikuwa Steve Cropper.
Nikiipiga hii nyimbo kwenye guitar langu Hoffner Electric Solid State...
Hii nyimbo ilikuwa na guitar kali sana lililochanganywa kwa ''octave.''
Siku zimekwenda wapi?