Heya leta nauliMi niko karume kwenye daladala na foleni yangu naperuzi jf.
Yawezakuwa wewe ndio wale mnaochungulia simu za watu kwenye daladala [emoji6]Habari zenu wadau wa JF.?
Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata member mmoja akitumia JF hadharani.
Mfano ukiwa kwenye Daladala watu kutumia mitandao kama vile Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp n.k ni jambo la kawaida ila sasa shughuli inakuja kwenye mtandao wa JF. Yaani sijawahi ona wala kukuta mtu anatumia JF hadharani.
Tatizo ni nn wakuu mnaogopa ama ni nn.???
Mi popote natumia lakin hua najitahidi mtu asione machoandika,mara nyingi napenda nikiwa nimekaa nimetulia
Hahahaha hata mi ndugu hawajui hii id ,,marafiki piaMie popote pale ila nikiwa na ndugu, jamaa na marafiki sipendi kuingia huku ili wasijue ID yangu humu. Siku moja nilishangaa kujua ndugu wengi wamo humu na baadhi yao ni MACCM ya kutupa lakini hayamfagilii uchwara. Siku hiyo walikuwa wakijadili mijadala mbali mbali ya humu.
Jf Imetugeuza walemavu wa akili. Unajificha kuanzia jina, sura, mpaka sehemu ya kutumia. Sababu ya kufanya hayo hakuna.
Mbona Facebook. Twitter. InstagramBen Saanane asingepotea kama uliyoyaandika ni kweli.
Mbona Facebook. Twitter. Instagram
N.k mbona watu hawapotei?