Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Speed ya kuendesha banaaa LoL! Hahahahaha mie na uchochezi mbali mbali.

Naweza siku nikasema leo ngoja nifuate speed limit lakini najiona siendi kokote kule. Mwendo wa Kobe au jongoo umenishinda.

Haha
Yaani mie kukupotezea siku zote na speed zako unaniona namna gani veepe!!!!

We haya tuu hiyo sense ni aje tenaaaa???!!! Mungu anakuona ujue, sio kwa uchochezi huo
 
Mimi nimekutana nao wawili,

1. Gari ya buguruni mbezi
2. Mwendokasi, alikua mdada kavaa shati la dawasco mida ya asubuhi hivi.
 
Kwa kuwa tunajadili kuhusu JF, naomba msaada wenu wakuu, nashidwa kuona avatars za member wengine kwenye Uzi.
 
Speed ya kuendesha banaaa LoL! Hahahahaha mie na uchochezi mbali mbali.

Naweza siku nikasema leo ngoja nifuate speed limit lakini najiona siendi kokote kule. Mwendo wa Kobe au jongoo umenishinda.
Aki siamini ka wajisifia speed mbele yangu, huo ni zaidi ya uchochezi aki....

Nakuangalia tu ujue.... Ila leo nimekusamehe ndugu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo hili weye Sakayo kwenda above speed limit si sifa, labda mpaka wanidake ndiyo nitatia adabu.

Nimekwambia mie na uchochezi mbali mbali Sakayo, sijawahi kuwa mchochezi na siwezi kuanza leo.

Sasa umenisamehe kwenye lipi wakati sijatenda kosa lolote lile!?

Umekunywa nini jioni hii Sakayo mbona hivyo?
😛😛😛

Ndo umekuja jishtaki BAK kwa kwenda speed....

Wataka niambia mpaka sasa huoni uchochezi wako???!!! Kusema mbele ya uma ati huwezi mwendo wa Kobe ni nini ndugu!!!!!

BTW mie sio mnywaji nimekunywa maji tuu leo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna kitu sitaki ajue mtu kama ID yangu ya JF...
So kwa dhana hyo naanzaje kutumia JF hadharani...
 
Hivyo eeh! Haya banaa ila hayo maji lazima yakapimwe ili kujua kama hayakuchanganywa na chochote kile.
Nina mashaka haya maji si maji ya kawaida.

Haha
Ndo umekuja jishtaki BAK kwa kwenda speed....

Wataka niambia mpaka sasa huoni uchochezi wako???!!! Kusema mbele ya uma ati huwezi mwendo wa Kobe ni nini ndugu!!!!!

BTW mie sio mnywaji nimekunywa maji tuu leo
 
Hivyo eeh! Haya banaa ila hayo maji lazima yakapimwe ili kujua kama hayakuchanganywa na chochote kile.
Nina mashaka haya maji si maji ya kawaida.
Haha
Aki umenishinda tabia ujue!!!!

Mzima wewe lakini!!!! Nimekuhamu tu mie nkaona nikuzeveze
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Unizeveze siyo!? Nami nimekuseveza nadhani jioni hii roho yao kwatu kabisa.

Aisee niko bomba kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Nasubiri kwa hamu kuu Xmas na New Year nijirushe kwa raha zangu pamoja na ndugu, rafiki na jamaa.

Vipi wewe hali yako?

Umeona eeh! Ndiyo sababu mimi siitumii sana Mkuu.
Huwa JF app naitumia nikiwa njiani nasafiri ama kwenye foleni. Lakini nikiwa na ample time home ama ofisini kuwa natumia website version
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Unizeveze siyo!? Nami nimekuseveza nadhani jioni hii roho yao kwatu kabisa.

Aisee niko bomba kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Nasubiri kwa hamu kuu Xmas na New Year nijirushe kwa raha zangu pamoja na ndugu, rafiki na jamaa.

Vipi wewe hali yako?
Nafurahi kusikia hiloo
Mie niko poa, Mungu ni mwema kabisa!!! Siku za songa ni kushukuru kwa pumzi tuu ndugu yangu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Mnoko huyu alikuwa busy kutaka kujua ID yako.

Mimi huwa naitumia popote ila naficha ID mtu asiijue kwa namna yeyote.

Kuna siku nipo kwenye daladala naperuzi, kumbe nyuma kuna mtu ananikodolea macho. Sasa kila nikirefresh nipate new posts, nageuzia simu chini kwa sababu natumia browser kwa hiyo kila nikirefresh jina linaonekana kwa juu.

Sasa Jamaa kakazana kuangalia ajue ID. Nilipogeuka, namuona anakodolea macho simu yangu.

Nikacheka, naye akacheka. Nikajua, huyu lazima atakuwa mwanaJF.
 
Back
Top Bottom