Nafurahi kusikia hiloo
Mie niko poa, Mungu ni mwema kabisa!!! Siku za songa ni kushukuru kwa pumzi tuu ndugu yangu
Wee dont underestimate us.. Ni ma fbi wazuri tu siku atakushangaza.. Namuonaga tu wangu anavyojisifu siijui id yake. Kumbe najua id yake hadi password. Password ya tigo na mpesa. Pattern na password ya simu niko vzr namcheki tu nasubir siku antibue...me waifu wangu anajua tu nikiwa bize na pc anajua tayari natupia mavitu JF,ila hajui hata ID yangu
Mnoko sana. Anachungulia kweli kweli. Sasa kisogoni nikawa nahisi kuna mtu ananikaribia sana kwa muda mrefu.Hahahahaha lol! Mnoko huyu alikuwa busy kutaka kujua ID yako.
Wewe huwa unatumia hadharani? Watu huwa tunatumia ila huwezi kutuonaHabari zenu wadau wa JF.?
Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata member mmoja akitumia JF hadharani.
Mfano ukiwa kwenye Daladala watu kutumia mitandao kama vile Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp n.k ni jambo la kawaida ila sasa shughuli inakuja kwenye mtandao wa JF. Yaani sijawahi ona wala kukuta mtu anatumia JF hadharani.
Tatizo ni nn wakuu mnaogopa ama ni nn.???
Ukaamua kumpa kesi ivuga. We Daby na ivuga ndio watu wa kwanza kuwafaham nilivyo jiunga humu. Unakumbuka ule mkono wakoKuna workmate mmoja alinikuta natumia paaap mimi siogopagi akaniuliza huu mtandao gani nikamwambia JF.
Mbona kila nikikuona unautumia unacheka saana nikamwambia kuna raha na karaha humu ingia ujionee.
Haya nifungulie account.. nikamwelekeza nikampa na sheria za mchezo akaanza kujiachia alivyozoea akaniuliza wewe ndiye nanii? Nikamwambia hapana mimi ni Saint Ivuga[emoji23] [emoji23] sijui kama ivuga hakuwahi kumtumia text. [Basi leo umenijua ila tuhifadhiane wote watu wazima]
Nakumbuka aseeh... Sasa hivi mkoloni kabana akirudi tutaanza.Ukaamua kumpa kesi ivuga. We Daby na ivuga ndio watu wa kwanza kuwafaham nilivyo jiunga humu. Unakumbuka ule mkono wako
Takbiiir...!Mie popote pale ila nikiwa na ndugu, jamaa na marafiki sipendi kuingia huku ili wasijue ID yangu humu. Siku moja nilishangaa kujua ndugu wengi wamo humu na baadhi yao ni MACCM ya kutupa lakini hayamfagilii uchwara. Siku hiyo walikuwa wakijadili mijadala mbali mbali ya humu.