Wakala Mtongwe
Member
- Dec 7, 2017
- 86
- 91
Nakubaliana na weweWengi hawaijui JF....wengi ssna
Wewe humuweziWa kwanza mm na nisha mla mara 2
MaliwatoniHabari zenu wadau wa JF.?
Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata member mmoja akitumia JF hadharani.
Mfano ukiwa kwenye Daladala watu kutumia mitandao kama vile Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp n.k ni jambo la kawaida ila sasa shughuli inakuja kwenye mtandao wa JF. Yaani sijawahi ona wala kukuta mtu anatumia JF hadharani.
Tatizo ni nn wakuu mnaogopa ama ni nn.???
Kuna mtu anatafutwa hapo wewe unanichoreshaNow nipo Tanganyika Library natumia Jf! we uko wapi kwani!
Mkuu mimi nipo kibaya we wapinipo zangu shamba huku kibaya wilayani kiteto naperuzi JF ! Wewe uko wapi ?
mm jf natumia popote... nikiwa ofcn natumia via my pc... nikiwa nje ya ofisi natumia kwa simu yangu, nmepakua app yake kabisa. nikiwa kwenye public transport huwa sipendi sana kuperuz jf kwa ku-sign in, naingia tu kama guest, kukiwa na ulazima wa ku-sign in ntafanya hivo kwa tahadhari kubwa, pia sipendi kuchangia sana mijadala nikiwa nje ya ofc, nafanya hivo mara chache, nikiwa nyumbani au ofcn ndio huwa narelax nikitumia jf na mijadala nachangia vizuri .. lengo ni kwamba usikute mtu mwingine ananipiga chabo akafanikiwa kuona my user name aje anichunguze, hahah
We acha tu...wanajf wa kwenye daladala ni vimeo, wanapenda kujua ID ya member wa humu![emoji23][emoji23][emoji23] shida hiyo yote ya nn mkuu
Mbona mie niko nautumia hapa hadharani?