Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

mm jf natumia popote... nikiwa ofcn natumia via my pc... nikiwa nje ya ofisi natumia kwa simu yangu, nmepakua app yake kabisa. nikiwa kwenye public transport huwa sipendi sana kuperuz jf kwa ku-sign in, naingia tu kama guest, kukiwa na ulazima wa ku-sign in ntafanya hivo kwa tahadhari kubwa, pia sipendi kuchangia sana mijadala nikiwa nje ya ofc, nafanya hivo mara chache, nikiwa nyumbani au ofcn ndio huwa narelax nikitumia jf na mijadala nachangia vizuri .. lengo ni kwamba usikute mtu mwingine ananipiga chabo akafanikiwa kuona my user name aje anichunguze, hahah
 
Mim natumiaaga hadharani ila chaajabu wananiuliza hiki nini nawambia Jf the "only place where we dare to talk openly"
 
Tatzo huku Jf kila mtu ni mchochezi sasa huwa hatuamini mtu hata kwenye daladala inabidi uingie jukwaani kimachale!
 
Habari zenu wadau wa JF.?

Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata member mmoja akitumia JF hadharani.

Mfano ukiwa kwenye Daladala watu kutumia mitandao kama vile Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp n.k ni jambo la kawaida ila sasa shughuli inakuja kwenye mtandao wa JF. Yaani sijawahi ona wala kukuta mtu anatumia JF hadharani.

Tatizo ni nn wakuu mnaogopa ama ni nn.???
Maliwatoni
 
Umenikumbusha njemba mmoja humu ambaye aligundua ID ya boss yake baada ya Boss kumuita ili aangalie lap top yake ilikuwa inafanya madudu.

Back
Top Bottom