au kuna ile unarogwa Mwanaume kila ukitembea chura inacheza cheza.....Humtakii mema kijana..
maana yule mzee wa Msata hakawii kumbebesha makalio usoni[emoji84]
Anajuwa mimi shemeji yake nina zinga la flat screen[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]ewaaah alisema atajinyonga asipotajwa nimekosa rambirambi
Hapo tena ndio umenifikishaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa Dom tunakula pundaaa nyama ya mishikaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]supu yake nyama moja 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babu unazeeka vibaya wewe acha uchocheziNdugu mjumbe, naona bahati imekuangukia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yaani umeokota dodo chini ya mchongoma....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ngoja tuone, ila usije ukatuacha midomo wazi pindi utakapotajwa
Huko ndio kuendana na mzingira sasa, ukiwa mjini unakuwa kama watu wa mjini, ukiwa kijijini unakuwa kama watu wa kijijiniNajua unachopendelea lakini saivi itabidi nikupeleke kwenye pizza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humtakii mema kijana..
maana yule mzee wa Msata hakawii kumbebesha makalio usoni[emoji84]
Taja tu kwani ukinuniwa nyuma ya keyboard kuna tatizo ganiNaogopa nisije nikataja wa mtu nikaanza kununiwa
Tena wewe ndiyo nitanuniwa sanaNitaje tu hata mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]