Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ndugu mjumbe, naona bahati imekuangukia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yaani umeokota dodo chini ya mchongoma....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mh mjumbe mdomo wangu umebaki wazi akiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Sasa rangi ya mtume inatembea kichwani tu kama ilivyo damu
 
Huko ndio kuendana na mzingira sasa, ukiwa mjini unakuwa kama watu wa mjini, ukiwa kijijini unakuwa kama watu wa kijijini
Hahahahha ngoja sku hiyo na ushamba wetu tukatie aibuuu
 
Tena wewe ndiyo nitanuniwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh mjumbe mdomo wangu umebaki wazi akiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Sasa rangi ya mtume inatembea kichwani tu kama ilivyo damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…