Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Duh anakosa dushe uyoAnakosa tamuuu mbunyelelelw
Nyuzi inakimbia alafu watu kama hawamjuiHahahahha jaman unamkatisha tamaa mwenziooo
Ni mimi mchonganishi tu niko kazini. hahhahaNaam...
Hahaha Mwifwa utajujuliwa suuuniSiamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hoja yako imepokelewa mh mjumbe, pamoja bega kwa bega tunalijenga Taifa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa I knew it's you. Mwifwa ni mdogo sana sema bolding na italicizing ya maandishi yake inamtofautisha na wengine. Pia yupo smart anachoandika..
Mr .Junio pia yupo smat hongera banaa
Unanichonganisha na nani?Ni mimi mchonganishi tu niko kazini. hahhaha
Hahahahahha usi delete banaMxeeew nakupenda kitofauti muoneee vileeee nitakudelete
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Khaaaa hivi na wewe una maneno eewh
Ooohh usijali huko mbeleni utanipenda na mimi Nina roho ya hela kupendwa na kila mtuNimependa masofa yakoooo
ununiwe na nan sasa??? We taja tuNaogopa nisije nikataja wa mtu nikaanza kununiwa
Babu mimi si miongoni mwa huyo mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mchokozi kaniita nije nifanye maombi. Sikujua Ibilisi wa hapa ana nguvu namna hii...Kwann umeanza sasa