Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....

Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....

Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaha Mwifwa utajujuliwa suuuni
 
Kwann umeanza sasa
Kuna mchokozi kaniita nije nifanye maombi. Sikujua Ibilisi wa hapa ana nguvu namna hii...

1537181330551.png
 
Back
Top Bottom