Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ujitahidi upunguze forbbiden gap na uongeze temperature
dah nmekumbuka meissner effect " expulsion of magnetic field from super conductor during its transitiom to super conducting state ...mambo ya kina meissner na robert oschenfeld ... Majamaa walimeasure mgnetic field distribution outside superconducting tin and lead samples waka cool below their super conducting temperature "

Dah aisee mkuu naipenda sana physics

Watu wananionaga mi chizi humu ndan ila hahaha aisee ... Sina neno ... Swalehe leo nampikia wali mkuu na kachumbari
 
Physics tamu sana ukiielewa lakini kwenye pepa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Physics tamu sana ukiielewa lakini kwenye pepa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Sijawah feli physics mkuu ... Dah ...nilikua sipend kusoma kwa mashndano maana nljua ntawaumiza tu washkaji... Na wao walielewa ... Hahaha dah ilifikia stage Calculation zlzonshnda mchana ... Nkilala naota nazsolve ... Na napta true solution nkishtuka tu naziandka .... " ushawah ota unacheza na mitochondria mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]


Umenikumbusha kuna mshikaji nilipokuwa form 1 yeye alikuwa form 4.

Alikuwa anapiga msuli mzito hadi ikafikia hatua akiwa amelala anaanza kuota tena kwa sauti anaelezea macalcutions ya maswali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…